Jana imefanyika dua na kumbukumbu ya kumuombea Sajuki ambayo wasanii mbalimbali wa maigizo walienda kwa ajili ya dua hiyo wakiongozwa na mke wa marehemu Sajuki aitwae Wastara,Hizi ni baadhi ya picha zikiwaonyesha wakiwa makaburini kwenye dua hiyo.
Credit:Bossngassablog.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake