Baadhi ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni wakielekea kwenye treni la Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa itilafu kwenye Engine ya Treni hilo. Kutokana na tatizo Imepelekea usumbufu kwa abiria waliofika toka saa 10 na wengine kufika saa 9 lakini hakuna ufumbuzi uliotolewa kuhusu tatizo hilo.
Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukaa kwenye Tren la Mwakyembe kwa muda mrefu
Abiria wanaotumia usafili wa treni jijini dar wamekwama kwa takribani masaa matatu sasa kwenye stesheni ya posta.Chanzo cha kutoondoka kwa treni hilo inasemekana ni hitilafu kwenye moja ya vichwa vya treni hiyo hivyo kusababisha kutoondoka kituoni hapo.Abiria wwengi wamekwama na wanalalamika bila kupata majibu ya uhakika kutoka kwa uongozi wa TRL.
PICHA NA PAMOJAH PURE BLOG
asante, tuache kupotosha mada hii siyo "Treni la Makyembe" ni treni ya usafiri Jijini Dar! Jamani tukiitangaza kwa uzuri hata watu wlioko nje na wanaotembelea Tanzania wataijua kama tunavyoita usafiri wa METRO Jijini Washington! Labda vinginevyo mnamtangaza Waziri Makyembe kwa ubunifuwake hapo tutakwenda sawa.
ReplyDelete