Nimefurahishwa sana na uamuzi wa rais mpya wa TFF kusema kuwa msimu unaokuja wachezaji wakigeni wasizidi wa 3 na hakuna golikipa mgeni katika timu. Na kunatakiwa kuakikisha wachezaji hao wamo kwenye kikosi chakwanza cha timu za taifa za nchi zao. Tanzania inawachezaji wazuri tu lakini viongozi wanatumia mapesa yao kununua wachezaji na kuwalipa mapesa mengi kuliko wazawa. Na kuangaika kuajiri makocha wa kigeni wakati timu hazina hata viwanya vya mazoezi. Timu zinashindwa kuwa na viwanja vizuri vya mazoezi na wanabakia kuwa omba omba kwenye mashule ya secondary na shule za msingi. |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake