Joyce hongera sana kwa kutuelimisha maswala ya wanawake,hasa pale unavyokwenda kwenye shina kwenyewe kuifata habari, kitu kimoja ambacho napenda kukemea na pia kusisitiza ili kuepuka mimba za utotoni ni swala la kukaza sheria za kuwaadhibu wanaume waliompa mimba msichana nasema hivyo kwa kuangalia nchi zilizoendelea kama Marekani kesi za mimba utotoni zimepungua au kutokomea kabisa, kwa kuwa sheria ni kali sana kwa mwanaume aliyempa mimba msichana chini ya miaka 18, kwanza mwanaume huyo anashitakiwa na kuwekwa jela na akitoka sheria inamlazimisha kumpa hela ya matunzo huyo binti inaitwa Child support mpaka mtoto atimie miaka 18, sheria ni kali sana kiasi kwamba wanaume wote wanaijua na hakuna anayecheza nayo mwanaume akitongoza mwanamke swali la kwanza anauliza miaka ya binti akishahakikisha miaka ya msichana ndio anaanza kutongoza, ni sheria inayofanya kazi kisawasawa Marekani, sioni kwa nini Tanzania tunaichekea hiyo sheria wakati imo kwenye sheria zetu mimi nimeishi Marekani miaka 8 watoto wangu wanasoma shule ya msingi mkubwa yuko darasa la nane tangu watoto wangu wamejiunga na shule hatujawahi kusikia kesi ya mimba hapa shuleni wala shule za jirani na kuna wanaume wengi tu hapa jirani na shuleni kuna walimu wanaume sasa niulize kwa nini sheria zetu hazitumiki? utakuta familia inakwenda polisi kuripoti ubakaji polisi wanacheka hawafatilii, mwalimu anajulikana amempa mimba mwanafunzi ndio kwanza anaendelea kufundisha wakati Marekani hicho kitu hakivumiliki huyo mwalimu atawekwa kwenye kila TV habari itakayochukua uzito wa juu, naomba naomba Joyce camera lako lipeleke Polisi na mahakamani ukaulize kwa nini kesi za mimba hazichukuliwi uzito? jee kuna wafungwa wowote Keko, Segerea na kwingineko wanatumikia kifungo cha kumpa mtoto mimba? na kama huyo binti wa Dodoma ungemfata huyo mwanaume ukamuanika kwenye TV iwe fundisho kwa wengine, sasa hivi wanaume hawajali kwa kuwa hakuna anayewauliza hata swali, Tafadhali Joyce tunaomba uendelee kuliweka wazi hili swala mpaka kieleweke

ReplyDelete