Mwezeshe mwanao kuchukua hatua za kwanza katika safari ya kujifunza Kiswahili! Katika Hesabu na Maumbo mwanao ataona picha ishirini zitakazo mwonyesha tarakimu na maumbo tofauti kwa Kiswahili. Kitabu hiki kinatumia vyakula na rangi mbalimbali licha tu ya msamiati wa msingi.
Kumfundisha mtoto lugha mapema ni msingi endelevu wa kuimarisha maendeleo yake kwa miaka ijayo. Anza leo na Hesabu na Maumbo. Kwa maelezo zaidi bofya hapa
No comments:
Post a Comment