Amatus Liyumba mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania. ameshinda kesi yake muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Baada ya kushitakiwa kukutwa na simu ya mkononi gerezani kesi iliyokuwa ikiunguruma muda si mrefu. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20 asubuhi. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake