Tuesday, January 14, 2014

MKE WA MTU ANASWA AKIWA ANAMTOROSHA BEKI 3 KWENDA DAR:

Wananchi wa Frelimo mjini Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Zuhura Angero ambae anatuhumiwa kutaka kumtorosha binti wa kazi kwa ajili ya
kwenda Dar es Saalam kufanya kazi za ndani 
Mwanamke aliyekamatwa akitaka kumtorosha binti kwa ajili ya kazi za ndani
Mwanamke huyo akiwa na binti aliyetaka kumtorosha 
Hapa akiwa chini ya ulinzi wa polisi jamii.
PICHA NA FRANSIS GODWIN

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake