
Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi mbalimbali. Jengo hilo linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha pindi likikamilika mwishoni mwa mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake