Thursday, January 16, 2014

MSANII ATWEET KWA MARA YA KWANZA KWAMBA YEYE NI MUATHIRIKA WA UKIMWI

Msanii Kibwinda Mwigusi ametangaza kwenye tweeter kwamba yeye ni muathirika wa ukimwi na hii imefanya kuwa masanii wa kwanza kuweka hadharadni kuathirika kwake bofya soma zaidi usome tweet yake

1 comment:

  1. Ninamshukuru san kwa hilo. Yeye ni mfano wa kuigwa na kitendo chake kinaweza kuwashawishi watu wengine wawe wawazi na vile vile kupunguza unyanyapaji wa wagonjwa ukimwi. Jamani tujitokeze ukimya utatuua.
    Namtakia huyu kijana matibabu mema na moyo wa uvumilivu na ninamshangilia kwa ujasiri wake.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake