Tuesday, January 14, 2014

RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT SALMIN AMOUR

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.


PICHA NA IKULU

1 comment:

  1. kawa ustadha siku hizi rais mstaafu alhamdulillah

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake