ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 16, 2014

SIYO MAZINGAOMBWE YA AKINA POWER BUKUKU HII NI LIVE KOMANDO WA KITANZANIA KIFUNJA TOFALI LA NCHI 6 KWA KUTUMIA KICHWA

Komandoo akivunja tofali kwa kichwa kwenye uwanja wa Amani siku ya kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2 comments:

Anonymous said...

Mimi nadhani kila kitu tunachojifunza kinakuwa na malengo yake,nadhani kila mtu atanielewa.Ila katika mazoezi haya ya kuvunja matofari kichwani malengo yake ni yapi?ukiwa komandoo unategemea kuvunjiwa matofari kichwani kila siku au baada ya muda gani,na ikiwa ndivyo kwa sababu zipi?!na kama hakuna sababu mbona wanatuonyesha hilo zoezi?!hapa nacheka kidogo.Kuna mtu kaniambia ni kujiandaa kwa mateso yakila aina,mhmm hili linatia shaka.Kwetu Tanzania wanang'oa meno na kung'oa kucha bila ganzi,ikiwa ni kujiandaa kwa mateso mbona hayo hawajiandai nayo? Nilitegemea kuona makomandoo wameng'oa meno na kucha tayari ili ikiwa watapata kukamatwa wawe tayari hivyo vitu hawana,au hayo ni kwa raia wema ,ila makomandoo mateso yao tofauti? naweza kuwa mbumbumbu lakini kama maswali yangu yana ingia akilini mwako msomaji naomba jibu kama unaweza saidia.Nisionekane naichokoza serikale huu ni mtizamo wangu katika hii picha nimejiuliza maswali mengi,kwa kuwa nilihitaji msaada nikashindwa kujizuia kuuliza.

Anonymous said...

Kwa watoto wa shule ya msingi, please don't try that at home.