Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mh.Pandu Kificho kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.
Uchaguzi huo Uliofanyika jioni ya Leo Kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma..Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.
Bi.Magret na Mh.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%.
Awali Katibu wa Bunge alitangaza kuwa Kuna Wagombea 4 wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Lakini katika hatua za Mwisho za Kujinadi kwa Wajumbe,Mgombea Mmoja Mh.Sadifa(Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge kutoka Zanzibar)aliamua kujitoa kwa Kusema anamheshimu Mzee Koficho hivyo anaona ni Vema akamuachia.
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba anakazi kubwa ya Kusimamia Kutunga Kanuni zitakazo tumika kwenye Bunge la Katiba.
3 comments:
Naona mahesabu ya CCM yamekamilika.yuko hapo ku-solve a simple mathematics equation
1 + 1=?, na sio 1+1=3
There are few people who can solve the equation na ndio maana wakafukuzwa CCM. Hili swali aliulizwa Seif Sharif na J.K Nyerere 1+1 akamjibu 3. Na ndio ulikuwa mwisho wa kuwa mwanachama wa CCM.
wazanzibar mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, mkajimalize wenyewe.
Hii ni mbinu maalum, huyu bwana kificho itabidi aitumikie hiyo nafasi kwa kujiona amepewa nafasi kubwa,
Post a Comment