hivi huyu jamaa sharobaro aliyevaa kofia hivi shule inapanda au amekwenda ushauri wa bure bore uende shule baba. unachokiongelea ni pumba tupu. unajua kusema sana si hekima au ndo mwenye busara.
eti mtu mke wa mtu atakuwaje na phd sijui shule haiko accredentional sijui kwa nini mtu awe anafanya mambo yote haya. why not why not nakuliza hivi umekaa huko marekani hata hujifunzi mambo yanavyokwenda umekaa tu na kipiga maboxi halafu unakuja hapa na comment zako za kipuzi puzi ndo tatizo hili nendeni shule muwe mnasema maneno ya maana sio leo kuka na kupepeta midomo yenu wanaume watu wazima.
eti watoto wangu wa africa america hivi wewe ndo unaona sifa ufahari wezenu hao hao mnaojivunia wanatafuta makabila na nchi walipotoka ili wajiunge nayo wajione nao ni watu weusi nyinyi mna makabila yenu na utamaduni wenu na nchi yenu eti kisa mko huko marekani mnaona sifa na ufahari sana kujiita wa africa wa america.
mbona mnachekesha na kujidhalilisha kifuzeni kwanza kusoma na kuandika na kusema vizuri kizungu halafu ndo mtoe mada nzuri za kisomi
tatizo la watu wasiosoma ndo hili wao hawaoni faida ya elimu faid kuwa mmarekani mweusi nakukaa huko na kupiga maboxi
kwa taarifa yenu mtu unaweza kufanya yote kuwa mkee/au mume na ku wa na watoto na kusoma hujui kuna kitu kinaitwa online open university? sijulaumu hujasoma ndo maana hutojua.
bora umesema la maana utawasomesha hao watoto wako africa american ambao unaona wanathaminiwa huko kumbe unajidanganya bore uwefundishe ulipotoka kabila lako na utamaduni wako wasije wakawa maskini wa mila zao.
nendeni shule sio eti mkiona mtu anasoma au kasoma mnakuwa na roho za chuki na roho mbaya.
kaka luke niweke tafadhali hii comment yangu jamaa lazima abiwe kweli na tena namkaribisha aje bongo angaliye vizuri kisomo changu asiwe na wivu wa kike si yupo huko mwambiyeni akasome apate kupanua mawazo yake.
nakipenda hiki kijiwe chenu laknin kwa watu wenye wivu na wasomi its no no someni na nyinyi kama hamuwezi wenzenu wanaoweza wachiyeni si eti leo mambo kama haya hayawezakani ngwee kweli kuna na hekima ni jambo la busara sana.
kumbukeni mwalimu aliwabana watu wasisome ndo maana wamekuja kusoma uti uzimani.
msika vijiweni tu kuropoka ropoka ovyoo kwa wenzanu wataona sawa mmepasua kwa wasomi kama sisi mnachefua tena mnaboronga tena mnajishusha hadhi zenu.
1 comment:

Post a Comment