Wednesday, February 26, 2014

MPIGA BOX AELEZEA MAISHA YA UPIGAJI BOX UGHAIBUNI

Meya wa DC Saleh Mohammed akielezea maisha ya kupiga box yalivyo ughaibuni mpaka Plate Number ya gari yake ameipa jina la PIGABOX ebu Msikilize hapo chini

5 comments:

  1. nyundo tano, duh unapiga box! kumbe huko wananyanyasa wafanyakazi sana hata kumpa gloves! ndio wanafata haki za binadamu! Bongo wachina wanapiga box kariakoo

    ReplyDelete
  2. Asante sana kaka ni vizuri watu waone ili waelewe ugumu wa upatikanaji wa dola! PIGA BOX!!!!

    ReplyDelete
  3. nenda shule kijana,marekani ni nchi ya opportunity kupiga box sio fahari

    ReplyDelete
  4. Marekani ni "LAND OF OPPOTUNITY" lakini ni kwa wachache, kuna wengi wamekuja amerika na kwengineko wakiwa na degree zao na wakasoma katika hizo nchi, wanalea wazee na kupiga box, kila mtu ana life style yake, muacheni kijana aeleze life style yake

    ReplyDelete
  5. lengo ni kutafuta, wapi kuna maslahi, mimi nachamba vibibi lakini nasomesha watoto wangu bongo katika shule nzuri tu, nimeipenda hii kaka

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake