ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 18, 2014

MWANADADA JIDE AKA ANACONDA NDANI YA MAZOEZI YA KARATE

Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipya kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo. 
Credit:Dj Choka
 

2 comments:

Anonymous said...

Haya kina Yahaya, kaeni chonjo!!

Anonymous said...

Kazi kwelix2 bwana ameanza kuleta zengwe, wife anaanza kujihami kwa silaha za maangamizi.