ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 3, 2014

WANAFUNZI ST ANNE MARIE ACADEMY DAR ES SALAAM WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA WA MALI ZA SHULE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibufu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo.
Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya.(Picha na Father Kidevu Blog)

1 comment:

Anonymous said...

Haya mabasi tayari yalikuwa yamesha pata kutu. Ni hatari sana watoto wanawezapata tetenasi.