ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 17, 2014

WAZUNGU WASHANGAZWA NA UWEZO WA MGANGA WA MASTAA NCHINI KWA TIBA ZAKE, WAFIKA KIJIJINI KWAKE TABORA NA KUJIONEA UMATI WA WANANCHI WAKIWA NYUMBANI KWAKE..!

Professa Patrick Pullicino toka chuo kikuu cha Uingereza ambae ameonekana kushangazwa na mitishamba ya Dk Kamdege.
Na Mwandishi Wetu
Yule mganga maarufu aliyejichukulia sifa kibao nchini na Duniani Dk Kamdege ameendelea kuwaumizwa vichwa wazungu kwa tiba zake za uhakika anazozifanya kwa watanzania na wengineo toka nchi za nje.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo Mkoani Tabora kilisema wazungu hao wamekuwa wakimiminika nyumbani kwa Dk huyu kwa ajili ya kujionea tiba zake anazozitoa kwa wananchi wa kigeni na nchini.
Mganga huyo ambae amewasaidia mastaa wengi sana kufikia malengo yao kwani yeye staili yake hatibu kutumia uchawi hapana bali anatibu watu kutumia mitishamba tu na ndio maana watu wengi wamekuwa wakifanikiwa na kuhadithiana na kurudi tena.
Dk Kamdege anatibu magonjwa ya kila aina na hata kwa wale waathirika wa Ugonjwa wa Ukimwi anazodawa ambazo mgonjwa akianza kutumia muda wiki moja tu atakuwa amerudisha hali yake ya kawaida.
Pia kwa wale wasiopata watoto, wasiofanikiwa licha ya kufanya kazi za nguvu na dawa kwa ajili ya kusafisha nyota za biashara zao, kupata dawa ya kuzuia mambo mabaya kwenye bishara zao, kupewa dawa ya kutuliza mpenzi wako pamoja na kusafishwa nyota na kuwa ya mng'ao mahala popote hizo kwake anaweka sawa hayo mambo haraka sana.
Hata hivyo kikubwa wanachochanganyikiwa nacho wazungu hao ni namna Dk huyo analivyokuwa na kipaji cha kugundua miti shamba na kuwasaidia watu wengi sana hadi raia hao wa kigeni ambao kuna wale waliokuwa hawapati watoto na kushindikana kuolewa pamoja kufanikiwa kibiashara hivyo wamekuwa wakifika hapo kujifunza kuhusu miti shamba.
 na Mungu hivyo watanzania wasishangae wanatakiwa kutumia nafasi hiyo kuweka sawa mambo yao na hata kama watu wako nje ya nchi watasaidiwa matatizo yao huko huko waliko.
Aidha mganga huyu mbae amewasaidia wasanii wengi mastaa nchini kuwa na mafanikio huku viongozi wa Serikali akimtumia sana kuwekea sawa mambo yao, na hata wenye kesi mbaya anapunguza makali ya kesi na kuonekana ya kawaida sana au kufutwa kabisa wanaotaka kupanda vyeo kwake ni tatizo dogo sana. pamoja kumpata mchumba yeyote anaemtaka atampata tu.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI JUMATANO HII USIKOSE NAKALA YAKO"Credit:Xdeejayz

5 comments:

Anonymous said...

Jamani nchi nzima tunadanganywa tena? Hii ni Loliondo all over again? Jamani wadanganyika vipi? Are we all that stupid?

Anonymous said...

Dawa ya kupata hivyo vitu vyote alivyovitaja huyo mganga ni maombi yako. Omba kutokana na imani ya dini yako na utavipa vyote hivyo bila kutumia njia za giza. Shame on you mganga na watu wote wanao amini kutatua matatizo yao kutumia waganga.

Anonymous said...

Tafadhali nawaomba anonymous #1 and #2 muamke. Msidanganyike na the so-called modern medicine, kwani nyingi zinazo side-effects. kumbukeni kuwa kabla ya hizi dawa mnazozipata kwenye pharmacies, mababu zetu walikuwa wanatuponyesha na mizizi. After all, most modern medicine have plants origin, na many plants zinazotumika kwenye madawa ni tropical plants; which means madawa mengi ya kienyeji kule bongo (a tropic country) contain ingredients zinazotumika kwenye haya madawa ambayo wadau tunanunua CVS, Rite-Aid, etc. Jamani, tusiwe hypocrites kudharau madawa na utamaduni wetu ambao umewaponyesha mababu na vizazi vingi vya zamani kabla ya mzungu haja-invent modern medicine. Tuache fikra za ukoloni mambo leo na tusisahau wapi tumetoka. Mimi nikiumwa wakati natembelea bongo daima nakunywa mizizi ya kuchemshwa na najisikia salama tuu!

Anonymous said...

Hii post imekaa kiwizi wizi. Kama wametibiwa huko kwake, kwa nini anaiba picha za watu wengine, asiweke picha wakiwa kwenye clinic yake. Kamata mwizi....

Anonymous said...

Hahahahaha hili ni tangazo la ujasiliamali. Hayo yote yaliyoelezwa ni ushirikina tu. Msidanganywe na hawa waganga. Eti hatumii uchawi sasa anasafishaje nyota na anawezaje kukufanya upande cheo n.k. Hebu tufungue macho tuone , tutadanganywa mpaka lini. Isije ikawa Loliondo part II .

Take care.