ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 9, 2014

ANGALIA LIVE MECHI YA YANGA VS AL AHLY HAPA - LIVE KUTOKA ALEXANDRIA, MISRI



1: Deogratius Munish 'Dida'
2: Mbuyu Twite
3: Oscar Joshua
4: Nadir Haroub
5: Kelvin Yondan
6: Frank Domayo
7: Simon Msuva
8: Mrisho Ngassa
9: Didier Kavumbagu
10: Hamis Kiiza
11: Emmanuel Okwi

SUB
Juma Kaseja
Juma Abdul
David Luhende
Athuman Idd
Nizar Khalfan
Said Bahanuzi
Jerson Tegete

*Kwenye karatasi ya kikosi niliyokabidhiwa sijaliona jina la kiungo Haruna Niyonzima - taarifa kutoka kwa kocha ni kwamba Niyonzima anaumwa malaria.
Unaweza kuangalia mechi ya Al Ahly vs Yanga kupitia hiyo link hapo chini - pia mtandao huu utakuletea live updates katika kila kitakachokuwa kikitokea uwanjani.

No comments: