ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 9, 2014

IKULU YAKANUSHA HABARI ZA GAZETI MWANANCHI YA RAIS KIKWETE KUMTEMBELEA MFUNGWA WA EPA BWANA MARANDA MUHIMBILI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

1 comment:

Anonymous said...

Ingekuwa ni jambo la kuhuzunisha Sana kama ni habari za ukweli lakini hatushangai Sana ni Jakaya huyu huyu aliempigia kampeni Basil Mramba kule Rombo wakati akiwa na kesi ya upotevu wa mamilioni na misamaha ya kodi isiyoeleweka:( Eee Mungu wetu tumulikie Tanzania yetu ipate kiongozi msafi atusafishie uozo tulionao.