LULU AFUNGUKA LIVE KUHUSU FUNUNU ZA KUTESWA NA KANUMBA
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na kumbukumbu ya tukio la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani.
Elizabeth Michael ‘Lulu’. Alipobanwa kuhusu kusumbuliwa na Kanumba aliyekuwa mpenzi wake, Lulu alisema:
“Imeshapita muda mrefu sasa, kama binadamu namkumbuka lakini siyo kama kipindi kile, ilikuwa picha ikinirudia mara kwa mara, hata hivyo sipendi sana kuzungumzia haya,” alisema.
No comments:
Post a Comment