Mgomo wa wahudumu wa magari nchini Kenya
Huduma za
usafiri jijini Nairobi zimekwama kufuatia hatua za wenye magari kugoma
hii leo wakilalamikia nyongeza ya ada ya kuegesha magari jijini humo.
Maelfu ya
wafanyakazi wamelazimika kutembea kwa
miguu na wasafiri wa kutoka jijini kwenda maeneo ya mashambani nao kulazimika kuahirisha safari zao.
miguu na wasafiri wa kutoka jijini kwenda maeneo ya mashambani nao kulazimika kuahirisha safari zao.
No comments:
Post a Comment