MWAKILISHI WA DIASPORA BUNGE LA KATIKA ALONGA NA VIJIMAMBO AELEZEA MAMBO YANAVYOENDELEA BUNGENI DODOMA
Kadari Singo
Vijimambo ilipata wasaa wa kuongea na mwakilishi wa DIASPORA Mhe. Kadari Singo moja kwa moja toka Dodoma, Tanzania ikitaka kujua maswala mbalimbali likiwemo swala la RAIA PACHA . Msikilize mwakilishi wetu hapo chini.
3 comments:
Anonymous
said...
Nampa hongera sana mwakilishi wetu huko Dodoma.Sasa wazo langu ni Ni rais wa jumuiya na jopo lake yaani viongozi wa watanzania kila mahali aite watanzania tujadiliane tunamsaidiaje huyu mwakilishi wetu kule nyumbani kama nia yetu ni Raia pacha tulibebe hili kwa pamoja hatutashindwa .Hayo ni mawazo yangu mie sijui wenzangu wanasemaje hapo.
Hebu semeni mnataka uraia pacha kwa watu US tu...sisi watu wa Europe hatuutaki huo uraia pacha kiukweli madhara kwa nchi ni makubwa kuliko faida...lazima mjue wabongo walioko nje ni wachache sana kufikia kuleta faida kwa nchi..kulinganisha na Kenya au Uganda huo ni ujinga ..wakenya na waganda wako wengi sana kulinganisha na watz ndo maana wanaweza kua na faida na huo uraia pacha.Kingine watz wa ughaibuni wangejenga tu hoja kwamba tupewe haki fulani ukichukulia kua tumezaliwa huko lakini uraia pacha ni majanga kwa nchi maana hapo itakua ni general kwa mtu yeyote wa kabila yoyote kuwa raia..hio issue sio muhimu kwa nchi yetu kwa sasa....wabongo wa Europe hatuitaki kabisa labda wabongo wa US tu ndo wanautaka huo... Mdau wa Netherland.
Inaelekea wana-diaspora wanahitaji watu zaidi wa kumsaidia muwakilishi wao Dodoma. Wanahitaji watu ambao watakao ongea na mjumbe mmoja baada ya mwingine pamoja na makundi yao. Itakuwa ni biashara ya "give and take", nipe kura yako kwenye hili nami nitakupa kura yangu kwenye suala lako. Ukiongeza na "workshops" nadhani tutakuwa tumepiga hatua ya kutosha.
3 comments:
Nampa hongera sana mwakilishi wetu huko Dodoma.Sasa wazo langu ni Ni rais wa jumuiya na jopo lake yaani viongozi wa watanzania kila mahali aite watanzania tujadiliane tunamsaidiaje huyu mwakilishi wetu kule nyumbani kama nia yetu ni Raia pacha tulibebe hili kwa pamoja hatutashindwa .Hayo ni mawazo yangu mie sijui wenzangu wanasemaje hapo.
Hebu semeni mnataka uraia pacha kwa watu US tu...sisi watu wa Europe hatuutaki huo uraia pacha kiukweli madhara kwa nchi ni makubwa kuliko faida...lazima mjue wabongo walioko nje ni wachache sana kufikia kuleta faida kwa nchi..kulinganisha na Kenya au Uganda huo ni ujinga ..wakenya na waganda wako wengi sana kulinganisha na watz ndo maana wanaweza kua na faida na huo uraia pacha.Kingine watz wa ughaibuni wangejenga tu hoja kwamba tupewe haki fulani ukichukulia kua tumezaliwa huko lakini uraia pacha ni majanga kwa nchi maana hapo itakua ni general kwa mtu yeyote wa kabila yoyote kuwa raia..hio issue sio muhimu kwa nchi yetu kwa sasa....wabongo wa Europe hatuitaki kabisa labda wabongo wa US tu ndo wanautaka huo...
Mdau wa Netherland.

Post a Comment