Kamanda Suleiman Kova
JAN ELOFF AKITOLEWA NJE YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KWA AJILI KUTAMBULIWA NA MWANAHABARI WETU
JAN ELOFF AKIHOJIWA NDANI YA
CHUMBA MAALUM KILICHOPO NDANI YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
Yule mzungu aliyekuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya
Dar es Salaam kwa kutuhuma za kuwatapeli wananchi kwa Euro Feki hatimae
amekamtwa kikomandoo akijaribu kununua gari kwa pesa hizo feki.
Habari za uhakika zilizotua mezani zilisema mzungu huyo ambae
ni Raia wa South Africa aliyefahamika kwa jina la JAN ELOFF ambae
anaishi maeneo ya Msasani Jijini Dar.
Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na mtandao huu hatari kwa habari za uchunguzi zilisema mzungu huyo ambae alikuwa anatuhumiwa kumpiga zaidi ya Euro hizo feki 700 mwandishi (jina kapuni) hii na DTV Bw. Livingstone Mkoi mwanzoni mwa januari mwaka huu kisha kufungua kituo cha polisi Oysterbay nakupatia kumbukumbu hii OB/RB/ 2972/14 KUJIPATIA PESA KWA NJIA YA UDANGANYIFU,pamoja na Kutoa Euro Feki.Baada ya tukio hilo la kutapeliwa mwanahabari huyo Jeshi la Polisi lilitangaza msako mkali wa kumtafuta mzungu huyo ambae alikuwa akishirikiana na wadada wawili ambao ni raia wa Cameroon na Nigeria pamoja na mwanaume wa kitanzania ambao baada ya tukio la kukamatwa mwenzao wanaendelea kutafutwa usiku na mchana na tayari ameshawataja wenzake anaoshirikiana nao.Kufuatia kukamtwa kwa mzungu huyo wananchi wengi wamempongeza Kamanda Kova kwa kufanikisha kukamatwa mzungu huyo.
Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni limetoa rai kwa mtu yeyote ambae amewahi kupigwa na mzungu huyo basi wafike haraka kituo cha polisi Oysterbay kwa ajili ya kumtambua mzungu huyo

1 comment:
atatoka tu unadhani atatoka tu bongo ndo ilivyo naona hata kinya nya kusoma hii habari eti watu wanampongeza kamanda mkuu ili iweje na akitoka mtafanyaje? mnahceza na makaburu tanzania ni shamba la bibi toka afe mwalimu nyerere mungu amlaze mahali pema peponi hawa watu watakuja na kuchumua na kuwacha nchi imeharibikiwa vibaya sana kila leo.
tupeni mmambo menginewe haya tumeshayazoea ya kibongo bongo
Post a Comment