Vuai na Halima Chunda walivyomelemeta, Harusi ya wawili hao ilifanyika Massachusetts na kujumuika ndugu na marafiki kutoka kila sehemu ya Marekani na Ulaya.
Vuai na mama mwenye nyumba
Bwana harusi na bibi harusi wakipata ukodak na marafiki
Mkuu wa Wilaya ya Springfield bwana Isaack Kibodya akipata ukodak
Habibu kutoka Delaware
Asha na Nasra wakipata ukodak
|
|
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake