RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BI. MARGARETH CHAMBILI ALIYELAZWA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijulia hali Ofisa wa Habari tume ya Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya MOI Hospitali ya Taifa Muhimbili.Bi.Chambiri aliwahi kufanya kazi katika Televisheni ya Taifa TBC(picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment