ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 4, 2014

WINDHOEK NI MJI MKUU WA NAMIBIA TAIFA STAR WANAKIPIGA HAPA NA TIMU YA TAIFA YA NCHI HIYO ILIYOPATA UHURU 1990

Hii ni barabara inayotokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako na maeneo mengine ya Namibia.
Mji ni msafi na kila mwendo mfupi kuna mapipa ya taka.
Barabara za juu na chini zimejengwa ili kukabiliana na foleni isiyokuwa na mpago.
Usafiri mkubwa wa mjini hapo ni Taxi ambazo hufanya kazi kama daladala kwa kubeba abiria mtaani.
Foleni haipo kabisa katikati ya mji kwa muda wote na marachache eneleo la viwandani huwa na foleni kama hivi katika taa.
Huu ndo mji wa Windhoek Namibia.

4 comments:

Anonymous said...

Duh! Wenzetu wameendelea sana jamani, pamekaa kama Miami hiyo minazi, barabara na signs zao zimehitimu

Anonymous said...

nilifikiri tanzania sijasoma kichwa cha habari vizuri nikafurahi nilivyoona maandeleo ya kwetu kumbe namibia haaaaaaaaaaaa
kupiga boxi kunanichengua

Anonymous said...

Sisi tulisha vuruga miji yetu kwa kuruhusu ujenzi holela.Itagharimu sana kuweka mambo sawa.

Anonymous said...

Huo mji hautatengenezeka unamsongamano mno. Lazima uwepo mji mpya kama nchi inataka muonekano huu...