ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 9, 2014

ANKAL ATUA DC

 Ankal katika picha ya pamoja na Mpwa walipokutana kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwenye jengo la Ubalozi lililopo mtaa wa 22 Washington, DC
 Ankal katika picha ya pamoja na dada Asha Nyang'anyi
 Kutoka kushoto ni Katibu wa Jumuiya  DMV, Bwn. Amos Cherehani, Mume wa Balozi Bwn.George Mulamula, Rais wa Jumuiya DMV Bwn. Idd Sandaly, Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Ankal.
Ankal na konoz katika picha na Nyami Lusinde

No comments: