Stori: waandishi wa globalpublishers.
MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu watafunga ndoa.Wapendanao Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu katika pozi la kimahaba.
Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.
Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote.
Wema.
“Lakini nawapa angalizo muhimu, wakae wakijua kwamba kama ndoa hiyo haitatimia Agosti kutokana na sababu zao wenyewe, haitafungwa tena hadi mwaka 2016, kwa sababu lazima ndoa yao iwe kwenye mwaka unaogawanyika.”
Maalim Hassan aliendelea kuweka wazi kwamba, vikwazo vyote ambavyo vilikuwa vikiwazunguka wawili hao, kwa mujibu wa nyota zao, vimetoweka, akimaanisha havipo tena.
3 comments:
atamwoa kama akiweza kuacha kuzungumzia mabwana zake wa zamani.... lakini kutwa kukicha mwenzetu anaongelea nani alikuwa nae na akachiti vipi so kwa wanaume si rahisi kumwoa mtu kama hivyo watasema tu huyu ni MKE WETU. fanya tu wema utulizane upate mtu wako achana na mambo ya mara leo unapigana mara kesho unamzungumzia buzi hili mtu wako yuko tu atakuoa hata kama ulikuwa na ulimwengu.
kila la heri ila kazi ipo manake siku hizi wanaume HAWAOI
She looks like she got cancer!!!! Sorry!!
Hawa watu kwanza ni wachafu, i hope wanajikinga maana ukihesabu namba ya mabwana au mabibi waliokwisha tembea nao tena wanazungukana hapo kwa hapo, mwanamme aliyetembea na rafiki yako unawezaje kurudiana naye?? Wasichana wa siku hizi hawafundwi!!! INABIDI HUYU BINTI AENDE UNYAGO TENA ULE WA SIKU 7 NDANI. Afundishwe kuwa mwili wa mwanamke si wa kuchezea U GAT TO BE EXPENSIVE SIYO KILA MWENYE PESA AU KUKUONGELESHA UNAISHIA NYUMBANI KWAKE, BY THE TIME ANAOLEWA AMEACHA LIST YA MABWANA WASIOJULIKANA IDADI YAKE NA WEYE DIAMOND UNAOKOTA MWANAMKE ALITEMBEA NA MABWANA KIBAO NA HANA HESHIMA ANAWAZUNGUMZI HADHARANI. MWANAMKE HUZUNGUMZI MTALAKA WAKE NOT BOYFRIENDS ULIOACHANA NAO NA UNATOA DETAILS. WATOTO WA SIKU HIZI HAWANA SONI (haya).MWANAMKE UNAYEJIHESHIMU U DO NOT TALK ABOUT WANAUME ULIOTEMBEA NO IN PUBLIC!
Post a Comment