Balozi wa Nigeria nchini Marekani Profesa
Adebowele Adufye, akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa
Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 anayopokea kwa niaba
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli
ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa Jumatano, Aprili 9, 2014. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai ambaye yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa kuhudhuria hafla hii
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe akifurahia baada ya kupokea Tuzo la
Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa
mwaka 2013 kwa niaba ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli
ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai ambaye yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa kuhudhuria hafla hii
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe akimshukuru Balozi wa Nigeria nchini Marekani Profesa Adebowele Adefuye baada ya kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 anayopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe akimpa
Naibu Spika Mhe Job Ndugai Tuzo la
Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa
mwaka 2013 aliyopokea kwa niaba ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo
kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili
9, 2014.
Naibu Spika Mhe Job Ndugai ambaye yuko Washington kwa zaiara ya kikazi akifurahia Tuzo la
Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa
mwaka 2013 aliyopewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete katika sherehe ya
kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa
, Jumatano, Aprili 9, 2014.
Kiongozi wa kwaya iliyotumbuiza katika hafla hiyo akiimba atika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe, akiwa na Balozi Liberata Mulamula (kushoto) baada ya sherehe ya kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi
Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 aliyopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika
sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington,
D.C., usiku wa Jumatano, Aprili 9, 2014. Picha na IkuluT
Mpiganaji Mubelwa Bandio akirusha live hafla hii kwa kushirikiana na Vijimambo na Michuzi blogs
Mwenyekiti wa CCM tawi la DMV akiwa na Dkt Mwamoyo Hamza na Saidi Yakubu wa Bunge la Tanzania
Tuzo yenyewe
Wadau katika hafla hiyo
Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw. Salva Rweyemamu akiangalia namna matangazo hayo yanavyorushwa live na Mubelwa Bandio na DJ Luke
Meza kuu
Sehemu ya wageni waalikwa
Wageni waalikwa
1 comment:
Pamoja na hamasa na bashasha zinzoendelea za kushangilia ushindi wa Rais Jakaya Kikwete ambapo katunukiwa tuzo ya kuwa kiongozi bora barani Afrika, nadhani ni vyema wamiliki wa Jarida lililotoa tuzo hiyo wakatueleza sisi Watanzania utaratibu uliotumika kupata takwimu za kumchagua. Je, ni maoni ya wasomaji wangapi na kutoka nchi gani walioshiriki? Nadhani ni haki ya Mtanzania kujua hayo kwa undani kwa vile anayetunukiwa ni kiongozi wao. Ili hii tuzo iwe na maana kwao basi ni vyema kama na wao wangeshirikishwa kupima ubora huo kwa kuangalia mabadiliko katika maisha yao ya kila siku. La sivyo hiyo tuzo itabaki kuwa kizungumti cha kucheza na takwimu kama ilivyo sasa hivi kwenye mjadala wa katiba na rasimu ya Mzee Warioba ambako inasemekana takwimu za Tume na sampuli iliyotumika haitoshi kuhalalisha mapendekezo yao.
Post a Comment