ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 12, 2014

MAFURIKO JANGWANI LEO

Picha zinaonesha hali halisi ya jiji la Dar es salaam leo baada ya mvua kubwa kunyesha tangu jana asubuhi na usiku mzima wa kuamkia leo. Picha chini kulia ni hali halisi ya eneo korofi la SHOPPERS PLAZA, Msasani Jijini Dar. Barabara haipitiki kabisa na magari madogo.
(PICHA IMETUMWA NA MDAU WA GLOBAL, Nawe unaweza ku SHARE nasi picha za matukio kama haya na mengine kupitia WhatsApp namba :+255 753 715 779)

No comments: