Leo Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo (kulia) alipata wasaa wa kuongea na mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Mhe Samuel Sitta (kushoto).Mrisho Gambo amesema "Hakika mzee huyu ana hekima za kutosha na ni moja ya tunu za Taifa hili".
PICHA NA MRISHO GAMBO
No comments:
Post a Comment