Video ya wakazi wa Jangwani walivyohamia kwenye vituo vya mabasi
yaendayo haraka kwa ajili ya kujihifadhi na picha zaidi za maeneo
mbalimbali yalivyojaa maji, zimepachikwa hapo chini...
![]() |
Mbezi Beach |
![]() |
Tegeta |
![]() |
Afrika Sana, Sinza |
![]() |
![]() |
Nyumba hii iliyopo eneo la Tabata-Mwananchi. (picha: Dei Misana) |
![]() |
Nyumba hii ipo eneo la jangwani jijini Dar es Salaam. (picha: Dei Misana) |
![]() |
(picha: Dei Misana) |
![]() |
(picha: Dei Misana) |
![]() |
Hapa wakijaribu kuokoa baadhi ya mali zao zilizokumbwa na mafuriko. (picha: Dei Misana) |
![]() |
Jangwani |
![]() |
Wakazi wa mabondeni ambao nyumba zao zimefunikwa na maji wakiwa wamejisitiri katika kituo cha mabasi yaendayo haraka ambacho hakijaisha katika eneo la Jangwani, barabara ya Morogoro |
![]() |
Eneo la Jangwani barabara ya Morogoro |
![]() |
Nyumba zilizoko eneo la Jangwani, Manispaa ya Ilala pembezoni mwa barabara ya Morogoro, zikiwa zimezama katika maji. Baadhi ya nyumba kama zinavyoonekana bado umeme unawaka, kitu ambacho ni hatari. |
2 comments:
Je, kuna fundisho lolote tunalolipata kutokana na majanga haya?
Hakuna fundisho lolote ndugu yangu tulilolipata hapa zaidi ya kulaumiana. Life will go on kama kawaida maji yakukauka. Hamna lolote litakalofanyika. It is so sad.
Post a Comment