CHAMA CHA MAPINDUZI D M V TUNAUNGANA NA WANA CHALINZE KWA KUSHEREHEKEA USHINDI MKUBWA NA WA KISHINDO TULIOUPATA TUNATOA PONGEZI KWA MH RIDHIWANI KIKWETE KWA KUCHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE TULIDHAMIRIA NA TUMEWEZA KUSHINDA KWA KISHINDO KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
No comments:
Post a Comment