ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 9, 2014

SHUKRAN KUTOKA KWA NY EBRA KWA MARAFIKI WALIOFANIKISHA KUFANYIKA KWA BIRTHDAY YAKE.

Watu wangu wa nguvu ninawashukuru kwa kusimamia na kufanikisha birthday yangu Mungu awabariki sana Big brother Seif Akida, Deo Mhella, Ally Sadik, Hagai, Dj Luke kutoka DC, Dr Temba na Dj Bilal. Kwa dada zangu shukran kwa Adela, Asha, Brenda na Flora. Shukran kwa wale wote waliojitokeza  na kushow love siku ya birthday, na pia kwa  waliokosa kuudhuria mungu awabariki na ahsanteni kwa upendo wenu kwangu.
 Vijimambo New York. 
Nyagaly Ebra!.

No comments: