ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 3, 2014

BAADA YA MIAKA NENDA MIAKA RUDI FID Q AKUMBUKWA

Fid Q ashinda tunzo mbili za KTMA moja ya Best hip hop artist na ya pili ni ya Best hip hop writer..Hapa Fid Q akipata ukodak na Manage wake Daniel Nyalus wakiwa na tunzo  hizo mkoni.

No comments: