ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 4, 2014

BONDIA MYWEATHER AMSHINDA KWA POINT MAIDANA ,MATUMLA,CHEKA, KALAMA WAANGALIA LIVE IGO LOUNGE SINZA DAR

Marcos Maidana punches as Floyd Mayweather Jr. defends during their fight at MGM Grand.
Bondia Floyd Myweathe kushoto akipangua ngumi ya Marcos Maidana wakati wa mpambano wao uliochezwa alfajili ya kuamkia leo point za majaji, Judge Michael Pernick scored it 114-114, a draw. Bert Clements had it 117-111 and Dave Moretti score it 116-112
Floyd Mayweather Jr. punches Marcos Maidana during their fight at MGM Grand.
Bondia Floyd Myweather kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Marcos Maidana wakati wa mpambano wao uliochezwa alfajili ya kuamkia leo point za majaji, Judge Michael Pernick scored it 114-114, a draw. Bert Clements had it 117-111 and Dave Moretti score it 116-112
Mabondia wa Tanzania Kalama Nyilawila kushoto,Rashidi Matumla na Fransic Cheka wakifatilia kwa makini mpambano huo uliochezwa alfajili ya leo katika ukumbi wa Igo Lounge sinza mapambano walipokuwa wakionesha live kupitia luninga kubwa kwa mashabiki wa mchezo huo
Marcos Maidana defends against Floyd Mayweather Jr. during their fight at MGM Grand.
Bondia Floyd Myweather kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Marcos Maidana wakati wa mpambano wao uliochezwa alfajili ya kuamkia leo point za majaji, Judge Michael Pernick scored it 114-114, a draw. Bert Clements had it 117-111 and Dave Moretti score it 116-112 



TANGAZO LIKIONESSHA KUWEPO KWA NGUMI ZA LIVE KUPITIA LUNINGA
Mabondia Rashid Matumla kushoto,Fransic Cheka na Kalama Nyilawila wakifatilia mpambano wa Myweather na Maidana kupitia luninga katika ukumbi wa Igo lounge sinza mapambano 
makamu wa rais Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini (BFT)?  Anderson Lukelo, mabondia Rashid Matumla kushoto,Fransic Cheka na Kalama Nyilawila wakifatilia mpambano wa Myweather na Maidana kupitia luninga katika ukumbi wa Igo lounge sinza mapambano leo wakiwa na wadau mbalimbali wa masumbwi nchini 
mashabiki wakifurahia mchezo wa ngumi kupitia luninga
MYWEATHE NA MAIDANA WAKIPAMBANA LIVE KATIKA LUNINGA
Bondia Fransic Cheka akitoa tasmini ya mchezo ulivyokuwa baada ya myweathe kutangazwa mshindi
Bondia Kalama Nyilawila akitoa tasmini ya mchezo ulivyokuwa baada ya myweathe kutangazwa mshindi

wadau mbalimbali wakipiga picha na cheka picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA mbalimbali alfajili ya kuamkia leo wamejitokeza kuangalia mpambano uliokuwa ukifanyika Marekani kati ya bondia Floyd Myweather na Marcos Maidana mpambano uliokuwa unafanyika katika ukumbi mkubwa kabisa wa ngumi duniani MGM grand

ambapo hapa nchini mabondia Rashidi Matumla, Kalama Nyilawila pamoja na Fransic Cheka na makamu wa raisShirikisho la ngumi za ridhaa nchini (BFT)? Anderson Lukelo pamoja na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

walijumuika kwa pamoja kuangalia mpambano huo live katika ukumbi wa
Igo lounge uliopo sinza mapambano

mpambano huo ulikuwa mkali ambao dunia nzima ya wapenda mchezo wa ngumi walikuwa wakisubili kwa hamu kuangalia wakali hawo wa masumbwi wanavyo oneshana umwamba


hata hivyo mpaka dakika ya mwisho ya mpambano huo ulisha kwa bondia Floyd Myweather kushinda kwa pointi za majaji wawili na mmoja wa majaji akitoa droo mpambano huo
Michael Pernick scored, 114-114, a draw. Bert Clements , 117-111 and Dave Moretti , 116-112


wakizungumzia mpambano huo walio uona live kupitia luninga bondia Rashid Matumla alisema wenzetu wana uwezo mkubwa sana katika masumbwi ata katika kujaji maidana alikuwa anacheza fujo tu katika mchezo huu hivyo ndio kitu kilicho mnyima ushindi


nae cheka aliongeza kwa kusema siku zote bingwa analindwa sana hivyo myweather ameweza kutetea taji lake vizuri


nae kalama amesema mambo haya yanatokea kila siku mana nakumbuka zama za Tyson ndio watu walikuwa wanajazana namna hii kuamka alfajili kuangalia ngumi sasa myweather anatisha kachukua urithi wa Tyson huyu bondia ni mzuri kwa jkutembea awapo ulingoni kacheza vizuri nimemfurahia

No comments: