ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 16, 2014

JAY -Z NA SOLANGE WAONDOA UKIMYA WASEMA UKOMVI WAO KWENYE LIFTI HAKUNA WAKULAUMIWA

Hatimaye pande zote mbili wa Jay- Z na Solange wameondoa ukimwa baada ya video ya ugomvi wao ndani ya lifti kuwa hadharani kwa kusema hakuna wakulaumiwa kwani kila mmoja wetu alikuwa na makosa kusababisha ugomvi utokee na sisi hatuna tofauti na familia zingine. Hata hivyo pamoja na Jay na Solange kuongea hakuna moja aliyeelezea sababu ya ugomvi wao.

Tumeondoa tofauti zetu na tumeungana kama familia moja.

Siku moja baada ya video kutoka Jay- Z alitishia kuishitaki hotel kwa kutoa Video hiyo hadharani na uongozi wa hoteli imemuachisha kazi mfanyakazi wao kwa kutoa Video hiyo hadharani inasemekana ameiuza kwa $250,000 kwa sasa uongozi unamfanyia uchunguzi kama anazo video zingine za mastaa waliowahifika kwenye hotel hiyo.

No comments: