Bwana
Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto
wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia
leo tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo alipolkuwa akitibiwa.
Mipango
ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani
na Vijana (Mango Garden).
Habari
ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi,
Afrika Kusini, Uingereza na Canada.
No comments:
Post a Comment