ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 3, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA KILI MUSIC AWARD

Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo.
Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amejinyakulia jumla ya tuzo saba katika zoezi la utoaji tuzo za Kili usiku huu ndani ya Mlimani City jijini Dar es Salaam!
Kundi la Weusi likipiga shoo ya nguvu ndani ya usiku wa Kili, Mlimani City.
Msanii Madee na vijana wake wakifanya yao stejini.
Young Killer akipokea tuzo ya Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka kutoka kwa msanii JB.
Washereheshaji wa shughuli ya leo Mpoki na Shadee wakiwa kazini.
Wanamuziki Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakifanya vitu vyao stejini.

Picha na GPL

7 comments:

Anonymous said...

hawana lolote wameka kama waniger wa kimarekani wezenu wamefytuka kikweli nyinyi mnajifytua wenyewe shauri zenu. unadhani nani mtanzania mwenye akili zake avae mavazi kama haya michael jackson si michael jackson basi kujitoa fahamu tuu.

nimelipenda vazi la wema sepetu peke yake na huyu domo kubwa diamond alivyo vaa kinigeria na wale wamasai other than that kupotezana tuuu

Anonymous said...

BIG BOY LUKE TUWEKE CLIP YA HII KILA AWARD PLEASE THANKS MY MAN

Anonymous said...

Jamani kweli hawa watu wawili Diamond na Wema kweli wanapendana na mapenzi yao yanapendeza na wanafurahisha sana,na kama kuna mtu anabisha huyo ana lake jambo juu ya hawa watu wawili.
Kila nikiwaangalia kwenye blog.mbali mbali matukio yao wakiwa wawili inapendeza sana.Unajua kweli kila mtu anapangia mtu wake,ukiangalia Diamond amezunguka hapa na pale nakupigana vijembe na Wema,na Wema nae hivyo hivyo lkn ukiangalia kila mmoja kaona hakuna mwingine zaidi ya mwezake na inapendeza sana na penzi lao ndio limezidi kuliko mwanzo ni Mungu tu awatangulie waweze kufikia malengo yao yakuwa mke na mume maana wakuwatenganisha si mwanadamu ni Mungu.
Na wanaonyesha mapenzi yao si yakinafiki niya kweli na uwazi,kweli nawapenda sana hawa watu wawili D na W na nawatakia mafanikio ktk maisha yenu kwani mnaendana sana sana.

Anonymous said...

kweli mdau unavyosema juu ya Wema na Diamond name nakukubali na ninawapenda sana pia.

Anonymous said...

Huyu Diamond tangu awe anaenda Nigeria ameanza kutuletea mavazi ya ajabu ajabu,sijui kama Uganda watamkaribisha ndani ya vazi hili..

Anonymous said...

EXCELLENT COMMENT! NIMEIPENDA!
TUACHE WIVU WA KISWAHILI KWA WANAOFANIKIWA AU KUFANYA VIZURI!

Anonymous said...

Only God can judge (diamond mpeleke wema kesho kwa mama huyo ndio number one wako mungu awabariki sana mahaba aliyokupa umenogewa)