- Juu ni baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.
Mada ikiwasilishwa na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao
Uwasilishaji mada kwa hisia! Mmoja wa wadau wa TGNP akiendesha mjadala mara baada ya mada kwenye mkutano huo.
Mkutano wa TGNP na wahariri wa habari kuzungumzia uchambuzi wa bajeti kwa muktadha wa kijinsia.
No comments:
Post a Comment