Watoto wa kike wenye hadi umri wa miaka kumi na miwili, wanalaghaiwa na kuchagizwa
kuingia katika ukahaba. Katika mji unaoonekana kama peponi, Malindi uliopo kwenye pwani ya
Kenya, kisirisiri unaendesha biashara ya ngono kwa watoto. Watalii huwa tayari kulipa fedha ili
kufanya ngono katika maeneo ya mwambao. Anne Soy anaarifu kutoka Malindi.
No comments:
Post a Comment