ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 7, 2014

VAZI LA KITAMADUNI LA KABILA LA WAMASAI

Vazi hili ni la kuheshimiwa kwani Mtanzania yeyote bila kujali kabila wala dini ulitumia vazi hili kama kitambulisho cha kujivunia Utanzania. Kwa watu wa Ughaibuni ujisikia faraja sana ndani ya vazi hili la kuvutia lenye asili ya kabila la Masai, kabila linalopatika ukanda wa kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Hapa ni Kisa Mwakalinga kushoto, Dyness Moshi katikati na kulia ni Jesse Chiume wakiwakilisha Tanzania  kwenye siku ya manesi duniani hapa New York. Walikuwa na banda lao la kutangaza shughuli za manesi Tanzania zilizofanya North Central Hospital Bronx NY.

7 comments:

Anonymous said...

yero subai mmependeza wadada zetu mnatuwakilisha kabila letu la kimasai mkija nyumbani njoeni mtusaidiye na sisi huku tunateseka sana lakini hatutumi dawa za kizungu

Anonymous said...

WELL THE SUPERIOR WHITE MAN IS BURNING IN HELL NOW! HE COULDN'T SAVE HIMSELF? THE BLACKMAN RULES SOUTH AFRICA AND NEVER AGAIN WILL ANY OTHER DERANGED WHITE MAN BE AFFORDED POWER! TO THE ANONYMOUS @4:00 PM, ARE YOU A DERANGED CHARACTER LIKE BOTHA? WHAT DO YOU MEAN BY WADANGANYIKA? A SIMPLE MESSAGE FOR YOU... NEVER WILL THERE BE AN ARAB RULE IN ZANZIBAR AGAIN, AM SURE YOU RECALL THE 1964 REVOLUTION!

Anonymous said...

Mmependeza sana. Utamaduni ni kitu muhimu sana. Hongereni kwa kuiwakilisha nchi.

Anonymous said...

huyu anonymous wa may 8th at 7.09 mbona anakurupuka kama kanywa changaa topic hii kwani ni ya both na nani kaandika wadanganyika?
jamaa kachanganyikiwa nini.

Anonymous said...

ANONYMOUS AT 3.43 I THINK YOU ARE THE ONE WHO IS DERANGED CHARACTER LIKE BOTHA AND COMMENT YOUR COMMENT ON THE RIGHT TOPIC DON'T COME HERE WITH YOUR HANGOVER AND DERANGED FOOLISH MIND.

I DON'T BLAME YOU BECAUSE YOU MIND IS SO POLLUTED FULL OF HATE OF ARABS AND SO DERANGED; CAN'T FOCUS AT ALL,I PITY YOUR POOR DERANGED SOUL.

NOW WONDER YOU DON'T KNOW THE TRUE HISTORICAL FACT OF 1964 REVOLUTION. BETTER GO AND LEARN ABOUT IT YOU DERANGED FOOL

IT'S WAS YOUR FATHER NYERERE AND OKELO WHO STARTED THAT REVOLUTION OF 1964 AND WHO KILLED ARABS,INDIANS AND A LOT OF INNOCENT ZANZIBARIANS.

YOU THINK WE DON'T KNOW YOUR DIRTY PROPAGANDA POLITICS OF SCARING INNOCENT PEOPLE AND WISHING THEM TO BELIEVE THEM.WELL ZANZIBARIANS ARE NOT FOOL DERANGED LIKE YOU.

ZANZIBARIANS A VERY EDUCATED PEOPLE AND THEY KNOW'S AND DON'T BELIEVE ON YOUR FOOL CRAPS YOU ARE SPREADING AROUND; THAT ONCE THE UNION IS OVER/BROKEN THE ARABS WILL COME TO RULE.ONLY DERANGED SOUL LIKE YOU BELIEVE SO.

NO WONDER YOU WANT SO BADLY TO BE UNITED WITH US AND WANT THIS UNION TO GO ON.

ITS UP TO ZANZIBARIANS IF THEY WANT ARABS TO RULE THEY WILL RULE AND NOT YOU DERANGED ANONYMOUS AT 3;43

YOU THINK YOU ARE GOING TO KILL ZANZIBARIANS,ARABS AND INDIANS IN THIS ISLAND LIKE THE WAY YOU DID IN 1964 REVOLUTION,YOU BETTER WAKE UP FASTER AND THINK OVER AGAIN YOU DERANGED FOOL.

YOU BETTER LEARN YOUR OWN HISTORY BEFORE JUMPING TO ZANZIBAR HISTORY BECAUSE I AM VERY SURE YOU DON'T KNOW YOUR OWN HISTORY THAT'S WHY YOU WROTE A LOT OF FOOL CRAP UP THERE BECAUSE YOU GOT A DERANGED MIND.

WE KNOW YOUR TACTICS OF SCARING PEOPLE BUT YOUR TIME IS UP AND OVER SO GET A GRIP OF YOUR DERANGED FOOL MIND AND SOUL.

YOU WILL FOREVER DIE WITH YOU HATE RAGE OF ARABS YOU DERANGED FOOL.

GO AND CALM DOWN YOURSELF WITH YOU BOOSE MAYBE YOU WILL GET A CURE OF YOUR HATE RAGE OF ARABS AND SLEEP PEACEFUL ONCE AND FOR ALL IN HELL.

Anonymous said...

Aliyetoa comment hapo juu mbona haeleweki ati any other deranged white man be afford the power hivi zimo kichwani huyu?
duniani wanaotawala sasa anawajua? na huko south africa anapajua au anapasikia?
watu wa south africa weusi anajua hali zao zilivyo?

na kama white man can not save himself can we black people save our self kila leo tumekuwa omba omba na kundondoka majuu kutafuta maisha.

mjoba ukija njoo na facts usije na uoza uoza wako hapa.

najua inauma kuzarauliwa sisi weusi lakini dunia hii anayetawala ni nani tujiulize?

hata tukitawala wenyewe mbona tunaomba omba misaada nchi za nje na kuwathamini wawekezaji waje wawekeze tujiulize haya

Anonymous said...

wamependeza madada zetu nakupeni kumi dada zetu you are the beauty of our heritage