AYA NDIYO YATAKUKUTA UKIKATIZA SEHEMU YENYE KAMBI YA JESHI KAMA WEWE NI RAIA
Ndugu yangu usiombee afande Marwa, Wambura, na Chacha wakuite baada ya kupita eneo la jeshi lenye kibao kinasomeka"ni marufuku kwa raia kupita eneo hili la jeshi" na kibao chenyewe kimeandikwa kwa maandishi mekundu kwenye ubao mweupe. Hii ndiyo sagarumba utakaekumbana nayo kama ilikuwa asubuhi una hang over au mchana umekula wali wa mama nitirie ndio utajua kwanini jeshi la Tanzania limetawaliwa na akina afande Wambura. Habari ndiyo hii
No comments:
Post a Comment