Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza Dk. Kokugonza Mugeye (kushoto) akimkabidhi mashine ya ultrasound Daktari Mfawidhi wa kituo cha Afya Makongoro Dk Mkama Magoti Membe katika halfla fupi iliyofanyika katika kituo hicho juzi. Mashine hiyo ni baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na benki ya KCB katika mpango wake wa kuboresha afya kwa wateja wake kanda ya Ziwa.
Meneja wa Banki KCB Joseph Njile (kushoto) akimkabidhi mashine ya kisasa ya kuchukua vipimo kidijitali(ultrasound) diwani wa kata ya Mkuuyuni na mwenyekiti wa huduma za jamii, afya, na elimu wa halmashauri ya jiji la Mwanza, Dismas Masunu. Kifaa hicho ni moja ya vifaa tiba vilivyotolewa na benki ya KCB kwa kituo kipya cha afya cha Makongoro cha jijini Mwanza.
KCB Mwanza Branch manager, Mr Joseph Njile hands over an ultrasound machine to Dismas Masunu, Mkuyuni ward councillor and the chief guest, on behalf of the newly established Makongoro Health Centre. The machine was part of the medical equipment donated by KCB in its endeavour to improve health of its Lake Zone clients.
No comments:
Post a Comment