ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 22, 2014

JE UNGEPENDA KUJA KUHUDHURIA SHOW YA MTOANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) LEO? BASI KARIBU SANA

Je Ungependa Kuja Kushuhudia ni Nani na Nani leo Wanachomwa na Jua la Utosi na kupelekea Kuaga shindano la Tanzania Movie Talents? (TMT)  Basi Usisite Kuja Katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa karibu na Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kuanzia Saa 12 Jioni.. Tunawakaribisha Wote Na Hakuna Kiingilio
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.....
Kwa Mawasiliano Zaidi Piga Simu 
0712 390 200

No comments: