Nimefiwa na Mtoto wangu wa kike 1yr, Everlyne Michael Machellah katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha. Mazishi tunatarajia kuyafanya kesho muda na wapi nitawajulisha.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe milele Amina.
Ninaandika haya nikiwa na huzuni kubwa,
MICHAEL MACHELLAH.
No comments:
Post a Comment