ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 20, 2014

WAZEE WA ZANAKI WAWAIJIA JUU WALE WOTE WASIOWAHESHIMU WAASISI WA TAIFA LETU

Wakati Bunge la katiba likitarajia kuanza vikao vyake mapema mwezi agosti mwaka huu, viongozi wa wazee kutoka koo nane za kabila la Wazanaki wilayani Butiama, wamewata wajumbe wa bunge hilo kuacha kutoa kauli za kejeli na matusi dhidi ya waasisi muungano hayati Mwalimu Julius Kambarege Nyerere na hayati Abed Aman Karume kwani wamesema kufanya hivyo ni kuwakosea heshima waasisi hao.

No comments: