ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 4, 2014

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, amwandalia chakula cha jioni (dinner) Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Jenerali Davis Mwamnyange


 Balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga katika picha ya pamoja na mkuu wa majeshi wa Tanzania Jenerali Davis Mwamnyange nyumbani kwa Balozi mdogo Dubai siku alipomuandalia chakula cha jioni mkuu huo wa jeshi na ujumbe wake walipokua wamemtembelea Balozi mdogo Omar Mjenga. nyumbani kwake.
 Balozi mdogo Mhe. Omar Mjenga katika picha ya pamoja na mkuu wa majeshi wa Tanzania Jenerali Davis Mwamnyange. 
 Mhe. Omar Mjenga akipata picha ya pamoja na mkuu wa jeshi wa Tanzania Jenerali Davis Mwamnyange na ujumbe wake siku Balozi mdogo wa Tanzania Duabi alipowaandalia chakula cha jioni mkuu huyo wa jeshi na ujumbe wake.
 Balozi mdogo wa Tanznia Dubai Mhe. Omar Mjenga akiwa na wageni wake mkuu wa jeshi wa Tanzania Jenerali Davis Mwamnyange na ujumbe wake siku Balozi mdogo wa Tanzania Dubai alipowaandalia chakula cha jioni nyumbani kwake.

1 comment:

Anonymous said...

Mhe Balozi hivi kila mtu ukumkarobisha kwako sharti umpost? Wengine watakustuka Mhe!