ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 4, 2014

ENDORSEMENT KUTOKA KWA BW. SAID MWAMENDE

Mimi Said Mwamende usiku huu wa leo August 3, 2014 namu endorse Bwana Idd Sandali kwa kuwa ni mtu makini, mchapa kazi, anaekubalika na anaefaa kuwaongoza watanzania waishio DMV, namfahamu Idd kwa muda mrefu ni mtu asiye na makuu, mjungu na mwenye kupenda kushirikiana na wenzake, (mfano mmeuona leo katika nyama choma alioiitisha) ni msomi ambaye anaweza kuwa chachu ya kuwatoa wana DMV walipo sasa kwa kusongonga mbele, Idd amekuwa kiongozi katika sekta mbali mbali katika maisha yake kuanzia mashuleni hadi leo ni rais wa watanzania waishio DC, Maryland na Virginia USA

No comments: