Tuesday, August 19, 2014

HUU SIUWINDAJI BALI NI UWAJI WA WANYAMA POLI TANZANIA

5 comments:

  1. Japokua ni wanyama lakini machozi yamenitoka.Nyandaru kashaona?

    ReplyDelete
  2. nani anawarusu hawa warabu koko wauwe wanyama hii mungu atawalani nyinyi viongozi mafisadi mtazania akiba kuku anachomwa moto au jela miezi sita dawa yenu iko jikoni

    ReplyDelete
  3. Yani inaonesha Nchi inavoouzwa kilaini weney hela zao wanfanya wanavotaka Tz, Serikali iko wapi??

    ReplyDelete
  4. Nyalandu kesha sema, vigogo ndio majangili.

    ReplyDelete
  5. Mambo ya kipuuuzi kama haya huwezi kuyakuta mahala kama nchi jirani ya Kenya....lakini Wa Tanzania viongozi wa serikali yetu kwa kuendekeza rushwa na maslahi binafsi leo taifa limekuwa halina hadhi. Wageni wanafanya nchi yetu kama play ground flani hivi ambayo haina mwenyewe.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake